KANUNI/NGAZI TATU NDANI YA FREEMASON.
👉NGAZI YA KWANZA (FIRST DEGREE).
Ukiwa kwenye ngazi ya kwanza (First Degree) kanuni inayoongoza inamtaka mtu (mwanachama) awe mkweli na mwenye maadili ambayo hasa Freemasons inalenga kuyaweka kwenye akili, ili mwanachama awe mzuri
👉NGAZI YA PILI (SECOND DEGREE)
Ngazi ya pili inatilia mkazo kwenye vipaji na akili kupitia sanaa na sayansi ili kutoa mchango mzuri iwezekanavyo kwenye maisha.
👉NGAZI YA TATU (THIRD DEGREE)
Inampa mtu nafasi ya kutafakari uwepo wake kwa kina na kwamba kanuni zote tatu zinafahamika kama upendo wa kindugu, kujiweka huru na ukweli.
Kwa njia hizi inamaanisha unafundishwa namna ya kuyafurahia maisha kwa kiwango chake cha Juu, kwa kufuata hizo kanuni tatu za upendo wa kindugu kujiweka huru na ukweli, wakati huohuo ukijitambua na kuanza kujiandaa na kuto kukwepeka kwa kifo.
FREEEMASONS' HALL GRAND LODGE OF DAR ES SALAAM.
5095 – DAR ES SALAAM LODGE
P.O. Box 483, Dar es Salaam.
Consecrated 22nd February, 1929
by W. Bro. J.E. Brunnen
Suspended on 9th November, 1989
Warrant returned on 25th March, 1991
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
Where by ;-
FM - Indicates Freemasons' Hall
INST - Indicates Months of Installation Meeting